ePrivacy and GPDR Cookie Consent management by TermsFeed Privacy Policy and Consent Generator
Benvenuti nella libreria online Tektime
Categorie
Perfeziona Ricerca
  • Lingua:
Ricerca Avanzata
PACCO REGALO EBOOK
offerte Speciali
Mauzauza Ya Raha-Kuchagua Upendo Badala Ya Hofu

Mauzauza Ya Raha-Kuchagua Upendo Badala Ya Hofu

Autore: Ken Luball
Codice Prodotto: 5580
Disponibilità: Disponibile
2,99€
-+
E-BOOK - ISBN: 9788835442240

”Atazamaye nje huota ndoto. Atazamaye ndani, Huamka”-Carl Jung Mauzauza Ya Raha; Kuchagua Upendo badala ya Hofu ni kitabu cha 4 katika ”Tetralojia ya Kuamka”. Kitabu hiki kinafunua njia nyingi za uwongo kupitia maisha ambazo tunaweza kuchukua na jinsi tunaweza kupata amani ya kweli ya ndani na kusudi maishani mwetu.

”Atazamaye nje huota ndoto. Atazamaye ndani, Huamka”-Carl Jung Mauzauza Ya Raha; Kuchagua Upendo badala ya Hofu ni kitabu cha 4 katika ”Tetralojia ya Kuamka”. Kitabu hiki kinafunua njia nyingi za uwongo kupitia maisha ambazo tunaweza kuchukua na jinsi tunaweza kupata amani ya kweli ya ndani na kusudi maishani mwetu. Wakati uhusiano wetu na ulimwengu unaotuzunguka unapoundwa kupitia lenzi zinazotawala za hofu, Safari yetu ya Maisha mara nyingi inaweza kuwa ya upweke na udhalimu. Shida zetu hazikomi, mizigo yetu ni nzito, mara nyingi hutuongoza kujijengea vizuizi vya ndani, vya kutulinda kutokana na kiwewe cha kihemko. Bado vizuizi vile vile vinatumika kututenga na kila kitu kinachotuzunguka, pamoja na uhalisia wetu. Mauzauza Ya Raha ni kitabu cha kiroho kinachofunua jinsi ya kukumbatia upendo badala ya hofu, Acha kutafuta maana na furaha ya ndani kupitia shughuli za nje na mahusiano katika ulimwengu; badala yake, kutafuta kutoka ndani.

Fascia età lettore
Fascia età Qualsiasi età
Formati libro
Formati epub, mobi (Kindle)
Lingua libro
Lingua Swahili
Parole libro
N. parole 32012
Traduttori
Traduttore SAMWEL LUBISIA

Scrivi una recensione

Nome:


La Tua Recensione: Nota: Il codice HTML non viene tradotto!

Punteggio: Negativo           Positivo

Inserire il codice nella casella seguente:

Continua
Tektime Bookstore © 2024