ePrivacy and GPDR Cookie Consent management by TermsFeed Privacy Policy and Consent Generator
Benvenuti nella libreria online Tektime
Categorie
Vitu Hatari-Mfululizo Wa Vitabu Vya Kuunganishwa Kwa Damu Kitabu Cha 3

Vitu Hatari-Mfululizo Wa Vitabu Vya Kuunganishwa Kwa Damu Kitabu Cha 3

Autore: Amy Blankenship
Codice Prodotto: 8411
Disponibilità: Disponibile
3,99€
-+
ATTENZIONE! CONTENUTO SOLO PER ADULTI.
WARNING! ADULT ONLY CONTENTS.


E-BOOK - ISBN: 9788835464464

Steven Wilder aliuangukia ile fimbo ya yule msichana kwa njia nyingi kando na kuanguka sakafuni… alitaka kumueka. Alipotambua kuwa alikuwa ameahidiwa kwa yule kiongozi wa umati ulimpa sababu aliyoitaka ili kumteka nyara na kumfanya mwenzake… kwa ulinzi wake mwenyewe.

Kila mmoja husema kuwa kuna njia mbili katika maisha, lakini kwa Jewel Scott, ilionekana kama zote zilikuwa hatari sana. Moja iliongoza hadi kwa Anthony, mbweha-mtu aliyekuwa na wazimu wa kuuwa watu, aliyekuwa pia kichwa cha umati na mchumba wake… kinyume na matakwa yake. Njia ile nyengine inaongoza hadi kwa Steven, simba-mtu aliye mpiga kwa gongo la mpira wa besiboli walipokutana mara ya kwanza. Aliitikia kwa kumteka nyara na kumfanya mwenzake. Steven Wilder aliuangukia ile fimbo ya yule msichana kwa njia nyingi kando na kuanguka sakafuni… alitaka kumueka. Alipotambua kuwa alikuwa ameahidiwa kwa yule kiongozi wa umati ulimpa sababu aliyoitaka ili kumteka nyara na kumfanya mwenzake… kwa ulinzi wake mwenyewe. Anthony Valachi alimtamani Jewel kupita kiasi wakati alipokuwa ni zaidi tu ya mtoto, na kwa sheria za umati, alishika usikani wa bibi harusi wake. Ikiwa mtu yeyote alifikiri kuwa wangemuiba kutoka kwake walikuwa wamekosea… kosea kabisa.

Fascia età lettore
Fascia età Più di 18 anni
Formati libro
Formati epub, mobi (Kindle)
Lingua libro
Lingua Swahili
Parole libro
N. parole 70507
Traduttori
Traduttore Pendo Amani

Scrivi una recensione

Nome:


La Tua Recensione: Nota: Il codice HTML non viene tradotto!

Punteggio: Negativo           Positivo

Inserire il codice nella casella seguente:

Continua
Tektime Bookstore © 2024